LOWASA AYASEMA HAYA KUHUSU JINA LA MWANAE KUWA KATIKA LISTI YA WENYE VYETI FEKI

Toka jana habari inayo Gonga vichwa vya watu ni kuhusu vyeti feki kubwa zaidi ni Pale Jina la mtoto wa Lowassa kuwemo kwenye List ya wenye vyeti feki kiendo ambacho kime Mfedhehesha sana Lowassa na kusema kuwa Hata lifumbia macho hili swala la Mwanaye kuwekwa kwenye List ya vyeti feki Lowassa Nitalitolea Ufafanuzi Jina la Godfrey Ngoyai Lowassa lililopo kwenye list ya watu wenye vyeti feki Muda sio Mrefu