VYUMA KULEGEA TENA KATIKA MSIMU WA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2018
Msimu huu wa sikukuu za krismasi na mwaka mpya vyuma vinazidi kulegezwa na havikazi tena . Hii ni mara tuu uonapo hali yako ya uchumi haijakaa sawa . jongea polepole hadi kwa tata mkopo fasta upate mkopo wako kwaajili ya mahemezi ya si kukuu za mwisho wa mwaka ikiwa ni pamoja na sikukuu ya mwaka mpya wa 2018. Tata mkopo fasta inatoa mkopo wenye riba nafuu sana kwa waombaji wake. Mkurugenzi wa tata mkopo fasta akizungumza na tataoldonyo blog ameeleza kuwa " mkopo wangu unatolewa kwa riba ya makubaliana kwa kiangalia uchumi halisi wa mwombaji, mkopo unaotolewa na tata mkopo fasta ni mkopo ambao hadi sasa umewanufaisha wengi zaidi ya vijana 50 ambao tayari wamekopa na wamefanikiwa kurejesha ili wrngine pia waweze kukopa . Tata mkopo fasta ikiwa inamuda wa miezi mitano tangu kuanzishwa kwake inaendelea kutoa huduma zake kwa wateja wake wote" Aliyasema hayo julius Charles mkurugenzi wa tata mkopo fasta. Pia ameeleza kuwa kutakua na punguzo ...