www.tatablogsport.blogsport.com/2017/09/tcu-admission-activities-timetable-for.html
Posts
Showing posts from October 4, 2017
Serikali yatoa ahadi
- Get link
- X
- Other Apps
Serikali yaahidi kuzifanyia kazi changamoto za Kikao cha Wadau ------------------------------------------------- Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe amesema Serikali itahakikisha inatekeleza maazimio yote yaliyopitishwa kwenye Mkutano wa pamoja wa mwaka wa Wadau wa Elimu uliofanyika kwa siku nne mjini Dodoma. Mhandisi Iyombe ameyasema hayo wakati akifunga Mkutano wa mwaka wa wadau wa Elimu wenye lengo la kujadili changamoto, mafanikio ya Elimu na kuona namna gani kama wadau wanaweza kutafuta njia ya pamoja ya kuboresha Mfumo wa utoaji wa Elimu Tanzania. �Nimepokea maazimio yote ya Mkutano huu na nitayawasilisha panapohusika kwa ajili ya utekelezaji lakini pia niwapongeze kwa kazi kubwa mliyoifanya, kuanzia wataalam kutoka Serikalini, sekta binafsi, Mashirika yasiyo ya kiserikali, wadau wa Elimu hakika mmefanya kazi kubwa na kupitia Mkutano huu tutaona mabadiliko makubwa katika Sekta hii ya Elimu� alisema Iyombe. Akitoa ...