UCHAGUZI CHUO KIKUU CHA AJUCO
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha askofu Mkuu yakobo (Ajuco) wako katika kipindi kifupi cha kufanya uchaguzi Wa Vongozi Wa serikali ya wanafunzi Wa Ajuco inayojulikana kwa jina la AJUCSO . Wakihitaji kuwapata WABUNGE na rais pamoja na makamu wake Wagombea urais wakiwa ni SUNGURA JANUARY NA ADAM A.MWINUKA huku wakiendelea kuchuana vikali na kila mmoja akiendelea kunadi Sera zake hapa chuoni. " uchaguzi Wa 2017/2018 umefanyika katika kipindi kigumu ambacho muda Wa vipindi vya darasani tayari umekwisha hivyo inakua ni vigumi kwa sisi wagombea kukutana moja kwa moja na wanafunzi wengi kwa wakati mmoja . Itakua ni ngumu sana kama ulikua hujulikani na wanafunzi wengi kipindi cha nyuma kushinda nafasi kwani wapiga kura hawakufahamu . Napendekeza mwaka mwingine uchaguzi ufanyike mapema sana pindi masomo yakiwa yanaendelea " Alisema mmoja Wa wa gombea hapo chuoni alipokua ak...