Posts

Showing posts from July 7, 2017

FAHAMU SIMU ZITAKAZO FUNGIWA WHATSAPP MWISHONI MWA MWAKA 2017

Image
orodha ya simu zitakazofungiwa Whatsapp kuanzia mwaka 2017 Kwa mujibu wa Whatsapp, wameamua kusitisha kutoa huduma kwa baadhi ya simu zinazotumia mifumo endeshi ya kizamani ili kuendana na kasi ya ukuwaji wa soko la simu duniani. Kwa mujibu wa Whatsapp, simu zitakazositishiwa huduma ni pamoja mwishoni mwa mwaka huu ni pamoja na simu zinazotumia mifumo endeshi ya: Android : Android 2.1 na Android 2.2 Windows : Windows Phone 7 iPhone: 3GS/ iOS 6 Pia whatsapp wamewatahadharisha watumiaji wa simu za, Blackberry 10 running on BBOS Nokia S40 running on S40 kufikia mwishoni mwa mwaka 2017 watakuwa wanasitisha kuzipa sapoti simu hizo pia. TAHADHARI NYINGINE watumiaji wa simu za android 4.0, 4.1.1 na 4.4.1 kwa simu zisizo na uwezo mkubwa kwa maana ya ufanisi mkubwa, mfano simu za TECNO, itel, infinite (simu zote zisizo na ufanisi mkubwa wa kazi)na simu ambazo ni kopi ya simu original pia simu zote zile ambazo zinapokea errors mbalimbali kama kugoma kufungua applications mfano simu y...