Posts

Showing posts from April 8, 2018

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia. MPANGO KAZI Katika kazi hii, tumelenga kufafanua dhana ya tamthiliya, dhana ya tanzia pamoja na istilahi za msingi katika tamthiliya ya tanzia. Pia kazi  yetu imegawanyika katika sehemu kuu tatu yaani Utangulizi, kiini cha swali, na hitimisho. Katika sehemu ya utangulizi tumejadili dhana ya tamthiliya na tanzia kwa kurejea wataalamu mbalimbali kama vile, TUKI, (2004), Mlama, (1983:203) katika dhana ya tamthiliya. Katika dhana ya tanzia tumeweza kuwatumia wataalamu kama vile Semzaba, (1997) Katika sehemu ya pili ambayo ni kiini cha swali hapa tumeweza kujadili  istilahi mbalimbali za msingi katika tamthiliya ya tanzia. Vilevile katika sehemu ya mwisho ambayo ni hitimisho tumeweka mawazo ya jumla ya kazi yetu. UTANGULIZI. Maana ya tamthiliya. Kwa mujibu wa TUKI, (2004). Tamtiliya ni utungo wa kisanaa ambao huweka wazo fulani katika matendo na mazungumzo. Tamthiliya ni sanaa ya maonyesho, sa...

Relationship between semantics and other level of linguistics

Image
Relationship Between Semantics and other Levels of Linguistics and Branches of Linguistics According to O’Grady, (2005), Semantics is the study of meaning in human language. Clearly semantics is a vast subject. “Meaning”, however, is a very vague term. In ordinary English, the word  meaning  is used to refer to such different things as the idea or intention lying behind a piece of language (Riemer, 2010:2). The study of meaning was very largely neglected. This was because meaning was felt to be inherently subjective and at least temporarily beyond the scope of scientific investigation. Semantics is one of the levels of linguistics; linguistics refers to scientific study of language (Todd, 1987). Semantics however, has relationship with other levels of linguistics which are Phonetics, phonology, morphology, syntax and pragmatics; and branches of linguistics which are sociolinguistics, psycho-linguistics, computational linguistics, applied linguistics, anthropol...