KILELE CHA UZINDUZI WA JUMUIYA YA WANAWAKE WA AJUCO
Uzinduzi kampeni ya kumkomboa mtoto Wa kike kwa kumpatia elimu ya kutosha ili kumfanya aondokane na manyanyaso yanayomfanya mtoto Wa kike kushindwa kupata elimu . "Nafurahi sana kwa kuwa nasi tumepata kuonekana ni watu katika jumuiya ya wanaAJUCO kwani haikuwahi kutokea tukio kubwa la namna ya pekeee lenye kuonyesha kutaka kuwakomboa wanawake ,hasa watoto wakike ambao bado wanaendelea kupata elimu ya msingi ,sekondari na hata chuo kikuu ,nashukuru sana kwa kitendo cha uungwana uliofanywa na wanawake wa jumuiya ya AJUCO kwani wanania njema ya kumkomboa mtoto Wa kike aweze kupata elimu hadi ya ngazi za juu .mmoja wa wanajumuiya ya AJUCO alisema hayo alipokuwa Akizungumza na tata blog pamoja na tata you tube channel