UCHAGUZI CHUO KIKUU CHA AJUCO

Wanafunzi wa Chuo kikuu cha askofu Mkuu yakobo (Ajuco) wako katika kipindi kifupi cha kufanya uchaguzi Wa Vongozi Wa serikali ya wanafunzi  Wa Ajuco  inayojulikana kwa jina la  AJUCSO .
Wakihitaji kuwapata WABUNGE na rais pamoja na makamu wake
Wagombea  urais wakiwa ni SUNGURA JANUARY NA ADAM A.MWINUKA
huku wakiendelea kuchuana vikali na kila mmoja akiendelea kunadi  Sera zake hapa chuoni.
" uchaguzi Wa 2017/2018 umefanyika katika kipindi kigumu ambacho muda Wa vipindi vya darasani tayari umekwisha hivyo  inakua  ni vigumi kwa sisi wagombea  kukutana moja kwa moja na wanafunzi  wengi kwa wakati mmoja .
Itakua ni ngumu sana kama ulikua hujulikani na wanafunzi wengi  kipindi cha nyuma kushinda nafasi kwani wapiga kura hawakufahamu. Napendekeza mwaka mwingine uchaguzi ufanyike mapema sana pindi masomo yakiwa yanaendelea "
Alisema mmoja Wa wagombea  hapo chuoni alipokua akihojiana na tata blog..

Tazama picha za baadhi ya wagombea

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi