BODI YA MIKOPO ELIMU YAJUU YAIMARIKA
Sasa wanafunzi Wa vyuo vikuu wanaonufaika na mikopo ya elimu ya juu watakua wakifuatiliwa kila baada ya ......."Mfumo wa Bodi ya Mikopo uliopo sasa ni imara na hufuatilia wanafunzi hewa kila baada ya miezi mitatu"-alisema Abdul Razaq Badru.
Comments