Fahamu haya machache juu ya matokeo ya AJUCO

TATABLOG na mytatablog ilizungumza na wanafunzi Wa chuo hicho wamesema wanakishukuru chuo kujitahidi kiwezavyo pamoja na majukumu mengi ya uongozi wao wamefanikisha kutoa matokeo ,japo  kunaonekana kuwepo na changamoto kadhaa katika utoaji Wa matokeo yao  ikiwemo chuo bado hakijaweza kuandaa tovuti maalumu kwaajili ya matokeo kwani yanapo bandikwa yanatupa wakati mgumu kuangalia matokeo hayo ,alisema mwanafunzi huo 

Mwingine alielekeza hoja zake kwenye ubandikaji Wa matokeo hayo na kusema kuwa, japo  wametumia mbinu hii ya ubandikaji Wa matokeo sio mbaya ila kutokana na wingi tulionao sisi wanafunzi Wa mwaka Wa kwanza wangeweza kuyabandika katika sehemu mbili tofauti  ili kuwezesha kila mmja kuyaona kwa urahisi wanapoyaweka sehemu moja yanaweza kuchanika ndani ya dakika chache na wengine wasiyaone kabisa alizungumza 

Kwanini uongozi unabandika usiku matokeo na wengine kushindwa kuyaona kwa wakati kutokana na kuishi mbali na eneo la  chuo .hivyo basi tunaomba uongozi katika matokeo yajayo wafanikishe zoezi la  kuandaa tovuti ya matokeo kama vyuo vingine

Pia kumeonekana kuwepo na sintofahamu juu ya uchakataji Wa matokeo hayo kwani inaonekana mtu  ana tamrini kubwa 30 na hata zaidi lakini jumla yake  amepata D inamaana kuwa mtihani Wa mwisho kati ya 60 ana alama chache sana ambazo zimemfanya kushindwa kufikisha wastani unaohitajika na chuo alisema kijana mmja

mfano UDSM .ahsante. Ni maoni na ambayo nimeyapokea kama yalivyo

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi