HAPPY BIRTHDAY KWAKO

Nijambo njema kuongeza namba ya miaka ulioishi duniani sio wote walioweza kutimiza umri AMBAO Leo ukonao ni rehema ya MWENYE ENZI MUNGU kukufikisha Siku ya Leo wewe nimtu wapekee sana katika hii dunia ndio maana hata alama za viganja vya mikono yako havifanani na mwingine
Zaidi nikutakie mafanikio katika kazi yako ya uandishi Wa VITABU MBALIMBALI nya mashairi ya kiswahili na mwaka huu ukawe mwaka Wa viwango vipya katika kila jambo ulifanyalo kiroho,kimwili,na kiakili

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi