Ilikufanikisha ndoto zako fanya yafuatayo
Katika ndoto ulizo nazo, chagua NDOTO moja uanze nayo(ukimbie nayo)Amini NDOTO yako, uliyonayo siku moja itakuwa kwenye uhalisia
Omba msaada kwa waliokutangulia, mfano NDOTO yako ni kuandika vitabu kuna watu walishaandika vitabu kabla yako,Kuna nyakati unabidi ubadili mfumo wa maisha yako, ili kuweza kufikia NDOTO yako.
Weka kikomo cha kufanya NDOTO yako, mfano, unataka kuandika kitabu unaweka kuwa utaandika kwa mda gani, labda utaandika kwa miezi 18.
Waambie watu wengine kuhusiana na NDOTO yako uliyonayo, kwasababu unapo tamka neno, kunanguvu, kumbuka hilo,
Katika kila Safari kuna vikwazo, usiogope kwa vikwazo vitakavyotokea, na chuga visiwe chanzo cha kutaka kuua NDOTO YAKO ..hayo tu kwa Leo by tata
Comments