KOROMIJE TENA
‘Kijiji cha Koromije sivyo ambavyo watu wanavyofikiri’ – Mbunge Susanne
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Susanne Makene ametembelea Kijiji cha Koromije kilichopo Wilaya ya Misungwi, Mwanza na kutekeleza ahadi aliyoitoa miezi saba iliyopita kuhusu kutoa mifuko 16 ya saruji pamoja na vifaa vya michezo.
Alipofika kwenye kijiji hicho Mbunge Susanne amezungumzia kuhusu kijiji cha Koromije. ..
‘Ni kijiji ambacho sivyo ambavyo watu wanavyofikiri, ni kijiji cha maendeleo, kumejengeka vizuri, wananchi wanajielewa wako vizuri kimaisha na ni wapambanaji.‘ – Mbunge Susanne.
Comments