KUTOKA JAMII FORUM PATA HII

Jopo la wanasayansi kutoka katika chuo kimoja nchini Marekani wametoa majibu ya kustaajabisha juu ya utafiti wao mdogo walioufanya hivi karibuni juu ya kujichua. Wanasayansi hao waliamua kufanya uchunguzi juu ya kwanini mchezo huu wa kujichua unazidi kushamiri kila kukicha katika nchi tofauti tofauti diniani ambao kwa asilimia kubwa unafanywa na vijana. Na ndiposa wakagundua kwamba mtu akianza kufanya mchezo huu ni vigumu mno kuacha hata kama ana mwenzi kwa vile raha wanayoipata kwa kujichua ni kubwa mara nne ya ile wanayoipata kwa wanawake.

Utafiti huo uliofanyika kwa takribani miezi sita ulihusisha pia watu mbalimbali ambao walihojiwa na wengi wao kukiri kuwa mtu akishaanza mchezo huo kuja kuuacha ni kwa kudra za maulana kwani wengi wao walikiri wazi kuwa hata baada ya kuoa waliendeleza tabia yao ya kujichua kipindi wakiwa mbali na wenzi wao au kipindi wenzi wao wakiwa kwenye period. Pia wanasayansi hao waliendelea kusema kuwa asilimia kubwa ya watu waliowafanyia utafiti walikiri kuwa ni watazamaji wazuri wa pilau ambazo huwapa akshi (mzuka ) kabla ya kufanya hicho kitendo.

Wanasayansi hao pia wameendelea kusema kuwa japo mchezo huu una madhara madogo madogo lakini ni salama kwa mpigaji kwani humuepusha na magonjwa mengi ya sinaa kama UKIMWI na mengineyo na wameweka wazi kuwa madhara ya mchezo huu hutofautiana baina ya mtu na mtu kutokana na vifaa wanavyotumia wakati wa mchezo huo kama sabuni za kuogea pamoja na mafuta ya kujipaka kama Afro jelly ambayo huwa na kemikali na hivyo kuwa na madhara kwa mtumiaji.

Licha ya mchezo huu kuonekana kuwa salama wanasayansi hao wametoa tahadhari kwa wale ambao hawajawahi kufanya huu mchezo kutokuufanya kabisa kwani mtu akishaonja ladha ya huu mchezo kuna uwezekano mkubwa wa kutokuweza kuuacha hivyo basi kama hujawahi kufanya huu mchezo ni bora kutokuonja kwani pindi utakapouzoea hutoweza tena kuuacha

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi