Maandalizi ya Sherehe za muungano yafikia kilele

April 26/04/19964 Zanzibar na Tanganyika ziliungana kupitia kupitia wasisi wake Julius kambarage nyerere na rais  Wa Zanzibar ,katika kuadhimisha sherehe hizo taasisi mbalimbali zimeandaa matembezi ya amani  kama moja ya kukumbuka waasisi wetu
Mhadhiri Wa chuo kikuu Ajuco songea akihamasisha wanafunzi na wanajumuiya wengine amesema "
Watu wote mnakaribishwa kushiriki mazoezi ya matembezi katika kuazimisha siku kuu ya muungano hapo kesho. Matembezi yataanzia chuoni Ajuco na kuishia mletele (Namtumbo road) na kurudi hadi chuoni kuanzia saa kumi na mbili na nusu. Mahali kukutana ni chuoni Ajuco, kila mmoja wetu anakaribishwa kushiriki matembezi hayo katika kuimarisha afya zetu. Hii si ya kukosa na ni zaidi ya kupanda mlima matogoro. "

Aliyasema hayo kupitia kundi la  AJUCO COMMUNITY  mapema hii Leo.

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi