MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UKIWA KIJANA


1. Jifunze kuweka akiba ya fedha

2.Tafuta mpenzi sahihi na tulia nae

3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji

4. Achana na starehe zisizo na maana

5. Jali sana afya yako

6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo

7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani na n.k

8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza

9. Acha mambo ya kitoto jisikie umekua mkubwa na mambo unayoyafanya yawe ya kiutu uzima

10. Zingatia sana muda wako

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi