MILIKI BLOG YAKO SASA
Je unataka kuwa mmliki wa blog?
KUTOKA TATA BLOG
Hii ni fursa kwako kama mwanajamii mpenda maendeleo sasa unaweza kumiliki blog ambayo huenda ikawa na faida kubwa pindi tu tutakapo kuunganisha na makampuni makubwa ya matangazo na kuanza kutangaza na wewe .
Huenda pia unahitaji blog kwaajili ya kuandaa taarifa zako na kuifanya kama diary yako kwani kwa sasa teknolojia imepanuka na imekua kubwa sana sio lazima utunze kumbukumbu kwenye vitabu ambayo kesho huenda vikapotea au kuungua ,miliki blog utunze kumbukumbu.
Vilevile inawezekana wewe ni mjasiriamali na unhependa kutangaza biashara yako mbali zaidi ukiachana na makundi ya WhatsApp ambayo sio rahisi mtu kuingia kwenye engine search na kuziona bidhaa zako .kama hivyo basi karibu utengeneze blog ambayo itaonekana kwenye engene search na kukutangaza kirahisi .
Vilevile labda unataka blog kwaajili ya kuandika makala mbalimbali ,unajua kwa sasa unaweza kutengeneza pesa sio tu kwa kuandika makala zinazosomwa na watu kwenye blog,unaweza kuandika makala zikakufanya upate nafasi za kujulikana sehemu mbalimbali ..
Vilevile inawezekana ni mmiliki Wa blog lakini unahitaji kubadili muonekano Wa blog yako na kuupa sura mpya . wasiliana na tatablog tukuwezeshe kutatua ,na kukufanikishia unachokihitaji kutokana blog 0655801621 au tuandikie kupitia email yetu .
Charlesjuliusmarwa@gmail.com .kwa urahisi zaidi
Comments