NIRAHISI SASA KUIPATA SIMU ILIYO IBIWA AU KUPOTEA

Leo nakusogezea hii
Kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia sasa tunaweza kusema ,
Wezi Wa simu watapungua na wengiwao watakamatwa
Kama ulishawahi kuibiwa simu au umepoteza simu hii inaweza kukusaidia sasa kuipata simu yako au kuizuia isifanye  chochote huko ilipo ama kufuta kabisa data zote zilizopo huko ilipo ilikukufanya wewe uwe salama kabisa .
Kama unahitaji huduma hizi  hakikisha unakumbukumbu  sahihi ya email yako na password yako ambayo umeitumia kufungulia google account ,ili kufanikisha zoezi zima  .unatatizo tupigie kwa namba 0655801621 kwa maelezo zaidi na huduma pia

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi