NYASA Mbamba bay barabara ni mbovu sana

Wakati watanzania  maeneo mengine ya nchi wakipambana na swala la  utawala bora, ufisadi na mengine kama hayo .wakiwa tayari wamesahau adha za barabara mbovu  katika maeneo yao ,huko mkoani Ruvuma hali bado sio nzuri katika baadhi ya barabara  zake  kwani wananchi  wanalazimika kujikwamua wawapo  safarini  ,barabara ni mbovu  hasa  barabara  ya kuelekea Nyasa mbamba bay
Ingawa hata katika maeneo ya katikati ya mji Wa SONGEA bado muonekano Wa barabara  zake hauridhishi kutokana na kuwepo kwa mashimo katika kila barabara  inayo katiza hapo mjini.

Comments

Popular posts from this blog

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.

ZIFAHAMU METHALI ZA KISWAHILI ZIPATAZO 600 NA ZAIDI

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi