Rais john pombe magufuli akiwa na mkewe leo wameshiriki ibada ya pasaka katika kanisa la Afrika Inland Church
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.
Comments