WAZIRI MSTAAFU NAPE NAUYE AMEYAANDIKA HAYA

Usiku wa kuamkia Leo  Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM Nape Moses Nnauye ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM.

“Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana CCM lakini ukweli ni kuwa CCM imenisaidia sana mimi kuliko mimi nilivyoisaidia, CCM ni SHULE.

“Bahati niliyopata kwa kuwa muenezi CCM ni kufanya kazi na ndg Kinana ni mwema, mzalendo, hodari, uwezo mkubwa, upendo na maarifa mengi” Ameandika  Nape

Comments

Popular posts from this blog

Uhakiki wa tamthiliya ya nguzo mama kwa kutumia nadharia ya saikochanganuzi

DHANA YA MOFU

Kwa kutumia mifano jadili istilahi muhimu katika tamthiliya ya tanzia.