Posts

Msanii diamond platnumz amezindua pafyum yake hii leo

Image
  Msanii wa muziki wa kizazi kipya , ambaye amekuwa akifanya vyema ndani na anga za Kimataifa Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz akizungumza mbele ya Waandishi wa habari pamoja na wadau wengine waliohudhuria hafla fupi iliyohusu uzinduzi wa manukato ( Pafyum ) yake iliyoitwa CHIBU , mapema leo jijini Dar. Wakati wa uzinduzi huo Diamond alisema kuwa ameamua kuingia kwenye soko la kutengeneza manukato 'pafyum' yenye nembo yake CHIBU ili kusaidia serikali katika suala zima la kutatua changamoto ya uhaba wa ajira nchini lakini pia kuongeza pato la Taifa kwa kulipa Kodi . Amesema kuwa kuanza kutengenezwa na kuuzwa kwa pafyum hizo kutaongeza ajira kwa vijana wengi lakini pia kutasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia kodi zitakazotozwa kutokana na bidhaa hiyo ambayo wanaume na wanawake wote wanaweza kuitumia , Pafyum ya CHIBU itapatikana katika maduka yote ya GSM na...

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UKIWA KIJANA

Image
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha 2.Tafuta mpenzi sahihi na tulia nae 3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji 4. Achana na starehe zisizo na maana 5. Jali sana afya yako 6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo 7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani na n.k 8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza 9. Acha mambo ya kitoto jisikie umekua mkubwa na mambo unayoyafanya yawe ya kiutu uzima 10. Zingatia sana muda wako

ASLAY 20ANGEKUONA tatanews

Image

Fahamu sasa kuwa mbu amewazidi ujanja wataalamu

Image
Kwa vipi? Inaelezwa kwamba mbu nchini hapa sasa anaishi kwa muda mrefu zaidi na kutaga mayai yao katika sehemu za wazi chini ya ardhi.  Ugunduzi huo unaleta tafsiri mpya kwamba sasa hatari ya maradhi yatokanayo na mbu kuwa ni makubwa zaidi, hasa kwa magonjwa kama matende, malaria na zika ambayo ni tishio kubwa katika baadhi ya nchi.  Hiyo sasa inazaa changamoto mpya ya haja ya kufanyika utafiti zaidi kukabli kasoro hiyo ambayo ni mzizi wa janga la hatari kwa afya watu.  Mtaalamu Dk. Moritz Kraemar, anasema takwimu za hivi sasa duniani kunabashiriwa kuwepo watu bilioni 2.17 wanaoishi katika maeneo hatari ya kuambukizwa na maradhi yatokanayo na mbu, huku katika baadhi ya nchi kama vile Jamaica, wameanza kubuni njia mpya ya kukabili kasoro hiyo tishio.  Pia, utafiti umegundua hatari ya kuwepo mbu wanaozaliana kwa wingi zaidi, iko katika maeneo ya joto, kuliko kwenye baridi zaidi. Kwa maana hiyo, makazi ya watu kwenye baridi sasa ndio kuko jirani na majanga ya kiafy...

NIRAHISI SASA KUIPATA SIMU ILIYO IBIWA AU KUPOTEA

Image
Leo nakusogezea hii Kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia sasa tunaweza kusema , Wezi Wa simu watapungua na wengiwao watakamatwa Kama ulishawahi kuibiwa simu au umepoteza simu hii inaweza kukusaidia sasa kuipata simu yako au kuizuia isifanye   chochote huko ilipo ama kufuta kabisa data zote zilizopo huko ilipo ilikukufanya wewe uwe salama kabisa . Kama unahitaji huduma hizi   hakikisha unakumbukumbu  sahihi ya email yako na password yako ambayo umeitumia kufungulia google account , ili kufanikisha zoezi zima   . unatatizo tupigie kwa namba 0655801621 kwa maelezo zaidi na huduma pia

Ada kulipwa kwa kutumia mbuzi na kondoo huko nchini.....

Image
Wazazi nchini Zimbabwe ambao hawawezi kugharimia karo ya shule wanaweza kupeleka mifugo wao kama mbuzi na kondoo kama malipo, waziri mmoja amesema. Waziri wa elimu nchini Lazarus Dokora aliiambia gazeti la Sunday Mail kuwa itabidi shule zilegeze masharti yao ya kudai karo ya shule kutoka kwa wazazi, na pia kando na mifugo wanaweza kubali kupewa huduma na ujuzi kama malipo. "Ikiwa kuna mwashi au mjenzi katika jamii, yeye yuapaswa kupewa ile nafasi ya kufanya kazi kama njia ya kulipa karo," gazeti lilimnukuu. Kuna shule ambazo tayari zinakubali mifugo kama malipo, Sunday Mail linasema. Hata hivyo afisa katika wizara hiyo alifafanua kwamba wazazi ambao wanaweza kulipia watoto wao karo kwa mifugo ni wale wa mashambani, lakini wazazi walioko mijini wanaweza kulipa kutumia njia nyingine kama vile kuifanyia shule kazi fulani. Tangazo hilo lilitolewa baada ya Zimbabwe wiki jana kupendekeza watu waruhusiwe kutumia mifugo yao kama mbuzi, ng'ombe na kondoo kama rehani wanapoch...

Matumizi madogo ya pesa hufanikisha mambo makubwa ,jifunze hapa

Image
Katika maisha ya kawaida ya Watanzania tulio wengi, kwa namna moja ama nyingine umewahi kusikia au wewe binafsi kulalama kuwa pesa yako haikai au haiendi kama unavyotegemea. Hiki ni kilio cha kawaida ambacho hakitokani na kutapanya fedha bali kutojua mbinu sahihi ya kawaida tu ya kuzitumia vyema pesa ‘kidogo’ kupata matokeo makubwa. Moja kati ya tabia ya fedha hasa hizi tunazopata watu wa kima cha chini ni kwamba huwa ni kama zinayaita matatizo au matumizi, pindi tunapokuwa nazo. Yaani mambo yanaweza kwenda tofauti na ulivyokuwa umepanga, matumizi yanaongezeka kidogo-kidogo ila unashtuka umebaki na kisalio ‘kiduchu’ au hata umefilisika kabisa. Ndio hapo kilio cha ‘mishahara haikutani’ kinazidi. Leo tutakupa mbinu ya namna ya kubadili kidogo mtindo wako wa maisha bila kujibana bali kubana mianya ya kutumia fedha zako bila kufuata mipango uliyojiwekea. Epuka vishawishi vya ATM, Simu Pesa : Jitahidi mara kadhaa kukwepa kutembea na ATM au kuweka ...