Posts

Maandalizi ya Sherehe za muungano yafikia kilele

Image
April 26/04/19964 Zanzibar na Tanganyika ziliungana kupitia kupitia wasisi wake Julius kambarage nyerere na rais  Wa Zanzibar ,katika kuadhimisha sherehe hizo taasisi mbalimbali zimeandaa matembezi ya amani  kama moja ya kukumbuka waasisi wetu Mhadhiri Wa chuo kikuu Ajuco songea akihamasisha wanafunzi na wanajumuiya wengine amesema " Watu wote mnakaribishwa kushiriki mazoezi ya matembezi katika kuazimisha siku kuu ya muungano hapo kesho. Matembezi yataanzia chuoni Ajuco na kuishia mletele (Namtumbo road) na kurudi hadi chuoni kuanzia saa kumi na mbili na nusu. Mahali kukutana ni chuoni Ajuco, kila mmoja wetu anakaribishwa kushiriki matembezi hayo katika kuimarisha afya zetu. Hii si ya kukosa na ni zaidi ya kupanda mlima matogoro. " Aliyasema hayo kupitia kundi la  AJUCO COMMUNITY  mapema hii Leo.

WAZIRI MSTAAFU NAPE NAUYE AMEYAANDIKA HAYA

Image
Usiku wa kuamkia Leo  Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM Nape Moses Nnauye ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM. “Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana CCM lakini ukweli ni kuwa CCM imenisaidia sana mimi kuliko mimi nilivyoisaidia, CCM ni SHULE. “Bahati niliyopata kwa kuwa muenezi CCM ni kufanya kazi na ndg Kinana ni mwema, mzalendo, hodari, uwezo mkubwa, upendo na maarifa mengi”  Ameandika  Nape

NYASA Mbamba bay barabara ni mbovu sana

Image
Wakati watanzania  maeneo mengine ya nchi wakipambana na swala la  utawala bora, ufisadi na mengine kama hayo .wakiwa tayari wamesahau adha za barabara mbovu  katika maeneo yao ,huko mkoani Ruvuma hali bado sio nzuri katika baadhi ya barabara  zake  kwani wananchi  wanalazimika kujikwamua wawapo  safarini  ,barabara ni mbovu  hasa  barabara  ya kuelekea Nyasa mbamba bay Ingawa hata katika maeneo ya katikati ya mji Wa SONGEA bado muonekano Wa barabara  zake hauridhishi kutokana na kuwepo kwa mashimo katika kila barabara  inayo katiza hapo mjini.

Weka applications za WhatsApp

Image
Hivi unafahamu kuwa ni rahisi sasa kuziweka application zaid  ya tatu kwenye  simu moja au computer yako sasa nirahisi sana ukihitaji karibu tukusaidie ,tatablog tuko kwaajili yako tuwasiliane kwa email charlesjuliusmarwa@gmail.com au kwa namba 0655801621

KUTOKA JAMII FORUM PATA HII

Jopo la wanasayansi kutoka katika chuo kimoja nchini Marekani wametoa majibu ya kustaajabisha juu ya utafiti wao mdogo walioufanya hivi karibuni juu ya kujichua. Wanasayansi hao waliamua kufanya uchunguzi juu ya kwanini mchezo huu wa kujichua unazidi kushamiri kila kukicha katika nchi tofauti tofauti diniani ambao kwa asilimia kubwa unafanywa na vijana. Na ndiposa wakagundua kwamba mtu akianza kufanya mchezo huu ni vigumu mno kuacha hata kama ana mwenzi kwa vile raha wanayoipata kwa kujichua ni kubwa mara nne ya ile wanayoipata kwa wanawake. Utafiti huo uliofanyika kwa takribani miezi sita ulihusisha pia watu mbalimbali ambao walihojiwa na wengi wao kukiri kuwa mtu akishaanza mchezo huo kuja kuuacha ni kwa kudra za maulana kwani wengi wao walikiri wazi kuwa hata baada ya kuoa waliendeleza tabia yao ya kujichua kipindi wakiwa mbali na wenzi wao au kipindi wenzi wao wakiwa kwenye period. Pia wanasayansi hao waliendelea kusema kuwa asilimia kubwa ya watu waliowafanyia utafiti walikiri ku...

Msanii diamond platnumz amezindua pafyum yake hii leo

Image
  Msanii wa muziki wa kizazi kipya , ambaye amekuwa akifanya vyema ndani na anga za Kimataifa Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz akizungumza mbele ya Waandishi wa habari pamoja na wadau wengine waliohudhuria hafla fupi iliyohusu uzinduzi wa manukato ( Pafyum ) yake iliyoitwa CHIBU , mapema leo jijini Dar. Wakati wa uzinduzi huo Diamond alisema kuwa ameamua kuingia kwenye soko la kutengeneza manukato 'pafyum' yenye nembo yake CHIBU ili kusaidia serikali katika suala zima la kutatua changamoto ya uhaba wa ajira nchini lakini pia kuongeza pato la Taifa kwa kulipa Kodi . Amesema kuwa kuanza kutengenezwa na kuuzwa kwa pafyum hizo kutaongeza ajira kwa vijana wengi lakini pia kutasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia kodi zitakazotozwa kutokana na bidhaa hiyo ambayo wanaume na wanawake wote wanaweza kuitumia , Pafyum ya CHIBU itapatikana katika maduka yote ya GSM na...

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UKIWA KIJANA

Image
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha 2.Tafuta mpenzi sahihi na tulia nae 3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji 4. Achana na starehe zisizo na maana 5. Jali sana afya yako 6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo 7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani na n.k 8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza 9. Acha mambo ya kitoto jisikie umekua mkubwa na mambo unayoyafanya yawe ya kiutu uzima 10. Zingatia sana muda wako